Kum. 32:39 Swahili Union Version (SUV)

Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye,Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi;Naua Mimi, nahuisha Mimi,Nimejeruhi, tena naponya;Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu,

Kum. 32

Kum. 32:29-40