Kwa kuwa BWANA atawaamua watu wake,Atawahurumia watumwa wake,Aonapo ya kuwa nguvu zao zimeondoka,Na ya kuwa habaki mtu, aliyefungwa wala asiyefungwa,