Kisasi ni changu mimi, na kulipa,Wakati itakapoteleza miguu yao;Maana siku ya msiba wao imekaribia,Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.