Wamenitia wivu kwa kisicho Mungu;Wamenikasirisha kwa ubatili wao;Nami nitawatia wivu kwa wasio watu,Nami nitawakasirisha kwa taifa lipumbaalo.