Akasema, Nitawaficha uso wangu,Nitaona mwisho wao utakuwaje;Maana, ni kizazi cha ukaidi mwingi,Watoto wasio imani ndani yao.