Kum. 32:17 Swahili Union Version (SUV)

Walitoa sadaka kwa pepo, si Mungu,Kwa miungu wasiyoijua,Kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu,Ambayo baba zenu hawakuiogopa.

Kum. 32

Kum. 32:16-23