Kum. 30:2 Swahili Union Version (SUV)

nawe utakapomrudia BWANA, Mungu wako, na kuitii sauti yake, mfano wa yote nikuagizayo leo, wewe na wanao, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;

Kum. 30

Kum. 30:1-8