Kum. 16:19 Swahili Union Version (SUV)

Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza daawa ya wenye haki.

Kum. 16

Kum. 16:11-22