Nikazikanyaga kabila za watu kwa hasira yangu,Nikawalevya kwa ghadhabu yangu,Nami nikaimwaga damu yao chini.