Isa. 63:5 Swahili Union Version (SUV)

Nikatazama, wala hakuna wa kusaidia;Nikashangaa kwa kuwa hakuna mwenye kutegemeza;Basi, mkono wangu mwenyewe uliniletea wokovu,Ghadhabu yangu ndiyo iliyonitegemeza.

Isa. 63

Isa. 63:1-10