Isa. 58:2 Swahili Union Version (SUV)

Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu.

Isa. 58

Isa. 58:1-8