Piga kelele, usiache,Paza sauti yako kama tarumbeta;Uwahubiri watu wangu kosa lao,Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.