Tegeni masikio yenu, na kunijia;Sikieni, na nafsi zenu zitaishi;Nami nitafanya nanyi agano la milele,Naam, rehema za Daudi zilizo imara.