Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula?Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha?Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema,Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.