Pigeni kelele za furaha, imbeni pamoja,Enyi mahali pa Yerusalemu palipokuwa ukiwa;Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake,Ameukomboa Yerusalemu.