BWANA ameweka wazi mkono wake mtakatifuMachoni pa mataifa yote;Na ncha zote za duniaZitauona wokovu wa Mungu wetu.