Jikung’ute mavumbi; uondoke,Uketi, Ee Yerusalemu;Jifungulie vifungo vya shingo yako,Ee binti Sayuni uliyefungwa.