Amka, amka, jivike nguvu,Ee mkono wa Bwana;Amka kama katika siku zile za kale,Katika vizazi vile vya zamani.