Si wewe uliyemkata-kata Rahabu?Uliyemchoma yule joka?Si wewe uliyeikausha bahari,Na maji ya vilindi vikuu;Uliyevifanya vilindi kuwa njia,Ili wapite watu waliokombolewa?