Isa. 26:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Siku ile wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda;Sisi tunao mji ulio na nguvu;Ataamuru wokovu kuwa kuta na maboma.

2. Wekeni wazi malango yake,Taifa lenye haki, lishikalo kweli, liingie.

3. Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemeaKatika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini.

Isa. 26