Siku ile wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda;Sisi tunao mji ulio na nguvu;Ataamuru wokovu kuwa kuta na maboma.