Katika siku hiyo watasema,Tazama, huyu ndiye Mungu wetu,Ndiye tuliyemngoja atusaidie;Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja,Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.