Na katika siku hiyo mtasema,Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake;Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,Litajeni jina lake kuwa limetukuka.