Ng’ombe amjua bwana wake,Na punda ajua kibanda cha bwana wake;Bali Israeli hajui, watu wangu hawafikiri.