Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena;Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.