Hes. 9:15 Swahili Union Version (SUV)

Na siku hiyo maskani iliposimamishwa, lile wingu likaifunika maskani, yaani, hema ya kukutania; wakati wa jioni likawa juu ya maskani, mfano wa moto, hata asubuhi.

Hes. 9

Hes. 9:13-22