Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu,Yeye aonaye maono ya Mwenyezi,Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho;