Namwona, lakini si sasa;Namtazama, lakini si karibu;Nyota itatokea katika YakoboNa fimbo ya enzi itainuka katika Israeli;Nayo itazipiga-piga pembe za Moabu,Na kuwavunja-vunja wana wote wa ghasia.