Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu,Na kuyajua maarifa yake Aliye Juu.Yeye aonaye maono ya Mwenyezi,Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho,