Kutoka kilele cha majabali namwona;Na kutoka milimani namtazama;Angalia, ni watu wakaao peke yao,Wala hawatahesabiwa pamoja na mataifa.