Ni nani awezaye kufanya idadi ya mavumbi ya Yakobo,Au kuhesabu robo ya Israeli?Na nife kifo chake mwenye haki,Na mwisho wangu uwe mfano wa mwisho wake.