Hab. 2:3 Swahili Union Version (SUV)

Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

Hab. 2

Hab. 2:1-4