Ezr. 7:10 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana huyo Ezra alikuwa ameuelekeza moyo wake kuitafuta sheria ya BWANA, na kuitenda, na kufundisha maagizo na hukumu katika Israeli.

Ezr. 7

Ezr. 7:2-15