Ezr. 6:18 Swahili Union Version (SUV)

Wakawaweka makuhani katika kura zao, wakawaweka na Walawi katika zamu zao, kwa ajili ya huduma ya Mungu, iliyokuwako Yerusalemu; vile vile kama vilivyoandikwa katika chuo cha Musa.

Ezr. 6

Ezr. 6:10-21