Hii ndiyo nakili ya waraka waliyompelekea mfalme Artashasta;Watumishi wako, watu walio ng’ambo ya Mto; wakadhalika.