Ezr. 10:44 Swahili Union Version (SUV)

Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.

Ezr. 10

Ezr. 10:41-44