Ezr. 10:41-44 Swahili Union Version (SUV)

41. na Azareli, na Shelemia, na Shemaria,

42. na Shalumu, na Amaria, na Yusufu.

43. Na wa wana wa Nebo; Yeieli, na Matithia, na Zabadi, na Zebina, na Ido, na Yoeli, na Benaya.

44. Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.

Ezr. 10