Ezr. 10:40-44 Swahili Union Version (SUV)

40. na Maknadebai, na Shashai, na Sharai,

41. na Azareli, na Shelemia, na Shemaria,

42. na Shalumu, na Amaria, na Yusufu.

43. Na wa wana wa Nebo; Yeieli, na Matithia, na Zabadi, na Zebina, na Ido, na Yoeli, na Benaya.

44. Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.

Ezr. 10