Eze. 47:4 Swahili Union Version (SUV)

Kisha akapima dhiraa elfu, akanivusha maji yale, maji yakafika mpaka magoti. Kisha akapima dhiraa elfu, akanivusha, maji yakafika mpaka viuno.

Eze. 47

Eze. 47:3-6