Ebr. 8:11 Swahili Union Version (SUV)

Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake,Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana;Kwa maana wote watanijua,Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.

Ebr. 8

Ebr. 8:10-13