Ebr. 8:10 Swahili Union Version (SUV)

Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya IsraeliBaada ya siku zile, asema Bwana;Nitawapa sheria zangu katika nia zao,Na katika mioyo yao nitaziandika;Nami nitakuwa Mungu kwao,Nao watakuwa watu wangu.

Ebr. 8

Ebr. 8:5-12