Ebr. 4:3 Swahili Union Version (SUV)

Maana sisi tulioamini tunaingia katika raha ile; kama vile alivyosema,Kama nilivyoapa kwa hasira yangu,Hawataingia rahani mwangu:ijapokuwa zile kazi zilimalizika tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu.

Ebr. 4

Ebr. 4:1-5