Ayu. 39:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Je! Wajua majira ya kuzaa kwao mbuzi-mwitu walio majabalini?Au waweza kusema majira ya kuzaa kulungu?

2. Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza?Au je! Wajua majira ya kuzaa kwao?

3. Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao,Watupa taabu zao.

Ayu. 39