Je! Wajua majira ya kuzaa kwao mbuzi-mwitu walio majabalini?Au waweza kusema majira ya kuzaa kulungu?