Ayu. 38:40-41 Swahili Union Version (SUV)

40. Waoteapo mapangoni mwao,Wakaapo mafichoni wapate kuvizia?

41. Ni nani anayempatia kunguru chakula,Makinda yake wanapomlilia Mungu,Na kutanga-tanga kwa kutindikiwa na chakula?

Ayu. 38