Ayu. 38:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,

2. Ni nani huyu atiaye mashauri gizaKwa maneno yasiyo na maarifa?

3. Basi jifunge viuno kama mwanamume,Maana nitakuuliza neno, nawe niambie.

Ayu. 38