Ayu. 38:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,

2. Ni nani huyu atiaye mashauri gizaKwa maneno yasiyo na maarifa?

Ayu. 38