Ayu. 29:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. Walipokata tamaa nikacheka nao;Na mwanga wa uso wangu hawakuuangusha.

25. Niliwachagulia njia, nikakaa kama mkuu wao.Nikakaa kama mfalme katika jeshi la askari,Mfano wa awafarijiye hao waombolezao.

Ayu. 29