Lakini sasa hao walio wadogo wangu hunifanyia mzaha,Ambao baba zao niliwadharau hata kuwaweka na mbwa wa kundi langu.