Giza lote linawekwa kwa ajili ya hazina zake;Moto ambao haukuvuviwa na mtu utamla;Utayateketeza yaliyosalia hemani mwake.